Kampuni ya kubeti ya coldbet nikampuni ya kubashiri mtandaoni pamoja na michezo mbalimbali ya casino. katika kampuni hii unaweza kubeti michezo mbalimbali ikiwemo mchezo wa mpira wa miguu, pete, kikapu, ngumi, tenesi na michezo mingine mbalimbali , Vilevile unaweza kucheza michezo mbalimbali ya casino za mtandaoni. Katika makala hii tutajadili jinsi ya kujiunga na coldbet kwa kutumia promo code AB84 , au col_2790 Tumia promo code mojawapo wakati wa kufungua account mpya ya coldbet ili uweze kupata bonasi yako ya kujiandikisha kwa mara ya kwanza. Kampuni ya colbet imesajiliwa kufanya kazi kimataifa katika nchi mbalimbali nakupata lesani ya curacao kwa usajili number 163111 chini ya kampuni tanzu ya Game2net yenye leseni OGL/2024/296/1093

Jinsi ya kujisajili coldbet

Hapa tutaeleza hatua kwa hatua jinsi ya kufungua account mpya ya coldbet na kuanza kufurahia huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hii. fuata hatua hizi kufungua account

  • Ingia kwenye tovuti ya coldbet www.coldbet.com kisha bofya registration utaona njia mbalimbali za kujisajili kama by phone, by-email, one- click and social network and messengers
  • kwa by phone jaza number ya simu bila kuanza na 0
  • bofya send sms
  • utapokea number zijaze kisha confirm
  • Jaza promo code AB84
  • Kisha bofya register

Kujisajili by-email

kujisajili coldbet kwa njia ya barua pepe fuata hatua hizi

  • bofya by -email
  • jaza email yako kwa usahihi
  • kisha bofya next
  • itakuja nchi yako bofya next
  • Tengeneza password
  • jaza promo code AB84
  • bofya register

Kufungua account ya coldbet by one- click

Hii ni njia rahisi zaidi ya kufungua account kwa haraka lakini baada ya kufungua ni muhimu kuingia sehemu ya profile ili kukamilisha usajili wako fuata hatua hizi ili uweze kufungua

  • Chagua by one click
  • Jaza promo code AB84
  • Bofya register
  • account yako itakuwa tayari utatumiwa password na user name id number

Kujisajili kwa social network and messenger

  • chagua mtandao husika kama google, apple id au telegram
  • jaza promo code kama tulivyotaja hapo
  • bofya register

Promo code ya coldbet na jinsi ya kutumia

Hii ni number maalumu ambayo hutumika mara moja waakati wa kufungua account. Na hujazwa mara moja tu kwa usahihi wakati wa kufungua account yaco ya coldbet Kama tulivyokwisha kuitaja promo code hiyo kama tulivoitaja hapa chini unaweza ku icopy na kuipaste sehemu husika

Kama tulivyokwisha kueleza kuwa promo code hiyo hutumika mara moja tu wakati wa kusajili account yako mpya ya coldbet

Ambapo huambatana na bonasi na ofa mbalimbali baada ya kujisajili na kuweka pesa

Jinsi ya kudeposit na ku withdraw pesa

Hapa tutaeleza na kutaja njia mbalimbali za kuweka pesa kwenye account yako unaweza kuweka pesa na kutoa pesa kwa haraka kupitia simu yako ya mkononi kama ifuatavyo

  • Mpesa
  • Halopesa
  • Mix by yass
  • Airtel money
  • Binance pay
  • bitcoin
  • ethereum
  • tron
  • dogecoin
  • tether ethereum
  • stellar
  • tether on optisms
  • qtum
  • bitcoin cash
  • polgon
  • solana

chagua njia yoyote kuweka na kutoa pesa wakati wowote kwa haraka, kumbuka njia utakayotumia kuweka pesa ndio hiyo hiyo utakayotumia kutolea pesa

Jinsi ya kupakua app ya coldbet kwa urahisi

Ingia katika tovuti ya coldbet kisha angalia uapande wa chini utaona download app pakua hakikisha katika upande wa setting wa simu yako umeruhusu kupakua app zinazotoka nje ya playstore , allow from unknown source baada ya hapo utaweza kupakua na kutumia app hiyo. baada ya kupakua unaweza kuendelea na hatua nyingine za kujisajili na kutumia kama tulivyokwisha kueleza hapo juu

FAQ maswali yanayoulizwa mara kwa mara kuhusu coldbet

Je coldbet nirahisi kutumia?

Ndio

Promo code ya coldbet ni ipi?

kama tulivyokwisha kueleza promo code ya coldbet ni AB84

Mawasiliano ya coldbet niyapi?

Unaweza kuwasiliana na coldbet kupitia live chat au barua pepe support-en@cold.bet

Je unaweza kucheza casino au aviator

ndio katika kampuni hii kuna casino na michezo mbalimbali

Je nikampuni ya kubeti ambayo nirahisi kuweka na kutoa pesa

ndio nirahisi kuweka na kutoa pesa

Mwisho tunakuhimiza kucheza kistaarabu na kujua ni muda gani wakupumzika kubeti, hii ni kwasababu kubeti kunaweza kukusababishia uraibu au kupoteza fedha. cheza kistaarabu

By Briana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *