Maana ya over/under 0.5, 1.5,2.5,3.5 kwenye betting
Karibu upate elimu kuhusu aption au masoko mbalimbali kuhusiana na betting, machaguo ya over na under watu wengi hawayafahamu yana maanisha nini , hivyo katika andiko hili tutajifunza maana ya hizi otions mbalimbali za over/under 0.5,0.75,1.5,2.5,3.5, na kuendelea
option za kubeti au machaguo mbalimbali ni masoko ambayo hupewa alama kulingana na soko na timu husika, over maana yake ni juu ya number husika, under maana yake ni goli chini ya number husika.
Maana ya Over 0.5 na Under 0.5
Hizi ni option mbili maarufu katika betting, ambazo humaanisha kuanzia goli moja lipatikane kwa over 0.5 na lisipatikane goli lolote kwa under 0.5, Ikiwa umeweka under 0.5 halafu goli moja likapatikana maana yake umepoteza, na kama litapatikana goli moja au zaidi na uliweka over 0.5 maana yake umefaulu katika chaguo hilo.
Maana ya over 1.5 na under 1.5
option hizi mbili kama zilivyo hizo za juu kwa under 1.5 maan yake isizidi goli moja na nusu au kwa uhakika zaidi kwakuwa hakuna goli nusu maan yake magoli au goli iwe chini ya 1.5 ambapo ni kuanzia goli moja au kutopatikana na goli kabisa. Kwa upande wa over 1.5 maan yake nikwamba magoli yazidi zaidi ya goli moja na nusu na kwakuwa hakuna goli nusu hivyo nilazima magoli yaanzie mawili na kuendelea
over 2.5 na under 2.5
katika mwendelezo wa option au chaguo la over na under hizi number mbili under 2.5 na over 2.5 ni miongoni mwa machaguo maarufu zaidi. over 2.5 maana yake ni kuwa magoli nilazima yazidi number 2.5 ambapo nilazima magoli yawe matatu kuendelea, wakati mwingine option hii huweza kuwekwa kama over 2.75 , kwa upande wa under 2.5 maan yake magoli yawe chini ya 2.5 ambapo yanaweza kuwa magoli mawili, moja au kutotokea goli kabisa
Kuhusu over 3.5 na under 3.5
kwa upande wa over 3.5 maana yake ni goli yazidi 3.5 ambapo ni kuanzia goli nne na kuendelea ikiwa yatatoka magoli matatu na wewe uliweka over utakuwa umepoteza hivyo nimuhimu kuchanganua na kufahamu kabla ya kuweka chaguo hili. Kwa upande wa under 3.5 maana yake ni magoli kuanzia 0 hadi goli 3, yakizidi matatu tayari umepoteza
Maana ya over 4.5,5.5,6.5 na kuendelea
Mpaka kufikia hapo utakuwa umekwisha kuellewa dhana ya over na under kwa over 4.5 maann yake magoli yaanzie matano, 5.5 yaanzie sita, 6.5 yaanzie 7 kwa upande wa under ni chini ya number au number husiika kabla ya desimali.
Je ni chaguo gani la over na under lenye nafasi zaidi?
Kwanza ni muhimu tufahamu kuwa kubeti ni kubahatisha na hakuna chaguo la uhakika zaidi, lakini machaguo haya yana nafasi zaidi, over 0.5, over 1.5, over 2.5, under 3.5 na under 4.5
Mwisho kumbuka kubashiri kistaarabu kila mara