
Kampuni mpya ya 50pick imeanzishwa Tanzania ikiwa ni ainayake ina inayokusudia kuleta mabadiliko ya jinsi unavyoweza kubashiri na kuweka mikeka mtandaoni. ukiwa na 50pick unaweza kubeti matukio mbalimbali ikiwemo ya michezo, hali ya hewa , matukio ya kifedha, kuhusu trade za cryipto , matukio ya kisiasa, Matukio ya kijamii miongoni mwa mambo mengine. Ambapo mchezaji atachagua ndio au hapana (yes or No) na kuweka pesa uppande aliouchagua na kama utashinda wachezaji waliocheza kinyume chako utakuwa umewala pesa zao. ufafanuzi zaidi katika sehemu ya jinsi ya kucheza. Kampuni hii imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za bodi ya michezo ya bahati nasibu na kupewa leseni number TZ-GBT-2026-XXXX
Jinsi ya kujisajili 50pick kwa urahisi.
Ili kufungua account yako ya 50pick na kuanza kucheza fuata hatua hizi hapa chini
- Tembelea tovuti ya 50pick au bofya >Hapa> kujiunga
- Ikisha fungukka bofya signup au jisajili
- Jaza number ya simu bila kuanza na 0 wala country code
- jaza email yako
- Jaza tarehe mwezi na mwaka wa kuzaliwa
- Tengeneza password yenye herufi 8 kuendelea
- dhibitisha password kwa kuiandika tena
- tiki vibox vyote
- Bofya create account
Jinsi ya kuverify account yako kwa kutumia vitambulivyo vya NIDA au vingine
Hatua inayofuata baada ya kujisajili utatakiwa ku thibitisha account yako KYC kwa kujaza number yako ya kitambulisho na kupiga picha ni zoezi rahisi fanya kama ifuatavyo
- Thibitisha vitambulisho vyako (verify your identity to add money , play and cashout SASA hapa click verify
- Ingia kwenye email yako utakuta link i click inaweza kukaa kwenye inbox ya email au spamy folder
Hatua ya kwanza bofya verify identy kisha
- Chagua aina ya kitambulisho utakachotumia kati ya NIDA, Passport, kadi ya mpiga kura, driving license
- jaza number ya nida kama umechagua nida,kama passport jaza number yake nk
- Jaza jina lako kamili kama ilivyo kwenye nida
- Weka email yako kisha bofya kuendelea na verification
- Piga picha kitambulisho chako kwa mbele upload
- piga picha kitambulisho chako kwa nyuma kisha upload
- Jipige selfie kisha thibitisha subiri ndani ya muda mfupi account yako itakuwa tayari
Jinsi ya kuweka pesa kwenye account yako ya 50pick
Kuweka na kutoa Pesa kwenye account yako ni rahisi sana unaweza kuweka na kutoa pesa kupitia Mpesa, airtel money , halopesa, mixx by yas Bofya sehemu ya tsh kwenye account yako itakupeleka sehemu ya deposit and withdraw chakuwa deposit kuweka pesa na withdraw kutoa pesa , weka kiwango unachotaka kuweka , chagua mtandao kisha angalia number yako ya simu jaza password kuthibitisha muamala
Jinsi ya kubeti na 50pick
Baada ya kuweka pesa kwenye account yako sasa utaweza kubeti , utaona maswali mbalimbali yanayohitaji kubetia kati ya yes au no unaweza kuchagua lugha upande wa juu ili uweze kuelewa swali kwa lugha unayoipenda. chagua jibu au upande kama ni yes au NO . Kumbuka niwewe unabeti dhidi ya mpinzani wako kwamfano kama ukisema yes mpinzani wako ni yule au wale wote waliosema NO hivyo ukishinda utachukua fedha za walizo kosa upande wa NO baada ya kodi ya serikali na mfumo
KWA MFANO UMEBETI KWENYE SWAHILI HILI
will Tanzania taifa stars win at least one of their first two Afcon 2027 qualifier matches? (september 21-october 6, 2026) Yani Tanzania itashinda mechi moja kati ya mbili za kufuzu afcon katika tarehe tajwa? Kama ukisema yes ikatoka hivyo basi utakula fedha za waliosema NO nafedha itawekwa kwenye account yako baada ya kodi ya Tra na ada kidogo ya jukwaa
Unaweza kubeti michezo mingi ikiwemo ya crypto kwa kuchagua ikiwa juu ya au chini ya
Jinsi ya kuwasiliana na 50pick kama unachangamoto yeyote
Ikiwa una changamoto yeyote unaweza kuwasiliana na 50pick kupitia number ya simu au baruapepe number ya simu ni hii ifuatayo 0800110011 au +255222115811 au barua pepe support@50pick.tz au unaweza kuwasiliana kupitia live chat ndani ya mfumoa au app ya 50pick
Kumbuka kucheza kistarabu ndani ya mfumo wa 50pick unaweza kupumzika kwa muda, au kujiondoa, kumbuka kubashiri kiwango unachoweza kukimudu endapo utapoteza kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya 50pick au piga simu