Meridianbet Tanzania ni miongoni mwa kampuni mbalimbali za kuubashiri nchini tanzania zilizozajiliwa na kufanya kazi chini ya sheria ya michezo ya bahati nasibu tanzania . Kwa zaidi ya miaka 13 meridianbet imekuwa ikitoa huduma mbalimbali kama vile kubeti na kucheza kasino mtandaoni pamoja na madukani. Kampuni ya meridianbeti huzingatia miongozo yote ikiwa ni pamoja na kuhimiza kubashiri kistaarabu, malipo ya haraka, alama zenye ubora pamoja na huduma nzuri kwa wateja 24/7kupitia numberi yao ya simu. katika makala hii tutazungumzia promo code ya meridiani beti 1109 jinsi ya kuitumia na kunufaika nayo vilevile tutaeleza jinsi ya kuweza kufungua account yako kwa urahisi

jinsi ya kujiunga meridianbet

Kujiandikisha katika kampuni ya meridianbet nirahisi, kwanza unatakiwa kutembelea google na kuandika meridianbet tz au meridianbet Tanzania bofya kiungo au chaguo la kwanza kujiunga kisha bofya join au jiunge kisha fanya hatua hizi

  • Tembelea tovuti ya meridianbet au bofya www.meridianbet.co.tz
  • Bofya register au jisajili
  • Jaza number ya sim
  • Tengeneza passord yenye angalau maandishi 6
  • Gusa kiduara cha promo code kisha jaza number hizi 1109
  • bofya jisajili

Baada ya hapo account yako itakuwa tayari unaweza kuendelea na hatua ninginezo

Meridianbet promo code

Promo code ni msimbo au code maalumu ya kujiandikisha kwa wateja wapya na hujazwa mara moja tu wakti wa kujisali. promo code hii huambatana na ofa mbalimbali kwa kila mteja. Kwa sasa promo code ya meridianbet ni 1109 , copy code hii hapa chini kishha ipaste kwenye sehemu ya promo code wakati wa kujisajili

Baada ya ku copy na kuchukua promo code hiyo nenda katika tovuti ye meridianbet jiandikishe kupitia code hiyo

kuweka na kutoa pesa meridianbet

kuweka na kutoa pesa ni jambo la msingi katika kampuni yoyote ya betting Tanzania, ili mteja kufurahia huduma ni lazima pawepo na michakato ya haraka katika kuweka na kutoa pesa, njia za kuweka na kutoa rasihi miongoni mwa mambo mengine. katika kampuni hii unaweza kuweka na kutoa pesa kupitia Mpesa, Mix by yass, Halopesa, Selcome, Airtel money , ili kutoa pesa ingia katika sehemu ya withdraw au toa pesa, kisha weka kiasi unachotaka kutoa , vilevile kuweka pesa bofya deposit, chagua njia unayotaka kutumia kulinganana na number uliyojiungia , weka kiasi na udeposit, hela itakuwa imeingia katika account yako ndani ya muda mfupi.

Michezo inayopatikana Meridianbet

Kampuni ya meridianbet huweka michezo mbalimbali katika tovuti yao na masoko mbalimbalimbali, unaweza kbeti, mpira wa miguu, mbio za farasi, kucheza michezo ya kasino kama aviator, slots mbalimbali, ligi mbalimbali kama laliga, nbc, epl, bundersliga, sirie A sirie B, Fa,ligue 1, michezo ya number e-footbal.table tennis, volley ball, martial arts, hand ball, ice hockey, amercan football, baseball, rugby union, rugby league, cricket, dota,politcs n.k

faida za kubeti na meridianbet

kulingana na tafiti zetu zipo faida za kubeti na kampuni hii kama ifuatavyo

  1. bonasi ya ukaribisho
  2. cashout
  3. malipo ya haraka
  4. michezo na masoko mengi

hasara

  1. hakuna njia za kudeposit za kimataifa kama cryptoo
  2. huwezi kuweka pesa kwa kupitia bank
  3. huwezi kubetia kampuni hii ukiwa nje ya Tanzania

Mawasiliano ya meridianbet

kama umekutana na changamoto yeyote wakati wa kutumia kampuni hii unaweza kupiga simu katika number yao 0768988200 au kwuwasiliana kupitia barua pepe au kupitia live chat katika tovuti au app

FAQ

Je nikiwango gani cha chini cha kutoa pesa meridianbet

unaweza kutoa pesa kuanzia tsh 1000

je promo code ya meridianbet ni ipi kwa sasa

promo code ya kujiunga meridianbet ni 1109

je meridianbet ni rahisi kutumia

ndio

je meridianbet ina app

ndio unaweza kupakua app ndani ya tovuti

je meridianbet ina cashout

ndio kuna huduma ya cashout

Mwisho tunakukumbusha kucheza kistaarabu

By Briana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *